Habari


 • Watumishi wa TRA- Arusha waaswa kuzingatia Ahadi ya Uadilifu
  11
  Sep
  2023

  Watumishi wa TRA- Arusha waaswa kuzingatia Ahadi ya Uadilifu

  Watumishi wa TRA- Arusha waaswa kuzingatia Ahadi ya Uadilifu... Soma zaidi

 • DC ULANGA AFIKISHWA MBELE YA BARAZA LA MAADILI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA
  05
  Sep
  2023

  DC ULANGA AFIKISHWA MBELE YA BARAZA LA MAADILI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA

  Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mhe. Dkt. Julius Kenneth Ningu (59) amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka na lugha za vitisho dhidi ya watumishi wa umma alipokuwa katika ziara za ukaguzi wa miradi mbalimbali.... Soma zaidi

 • WAHESHIMIWA MAHAKIMU MKOA WA KILIMANJARO WAASWA KUJIEPUSHA NA MGONGANO WA MASLAHI
  04
  Sep
  2023

  WAHESHIMIWA MAHAKIMU MKOA WA KILIMANJARO WAASWA KUJIEPUSHA NA MGONGANO WA MASLAHI

  Kauli hiyo imetolewa na Katibu Msaidizi kanda ya kaskazini Arusha Bi. Anna Mbasha alipokuwa akitoa mafunzo kwa mahakimu wa ngazi mbalimbali wa mkoa wa Kilimanjaro kuhusu maadili hivi karibuni.... Soma zaidi

 • WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI  WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA WELEDI NA UADILIFU.
  24
  Aug
  2023

  WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA WELEDI NA UADILIFU.

  WATUMISHI WA SEKRETARIETI YA MAADILI WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA WELEDI NA UADILIFU.... Soma zaidi