Functions
Functions
Kifungu cha 19 cha Sheria kinaipa Sekretarieti ya Maadili majukumu ya Kisheria yafuatayo;
- Kupokea matamko ya rasilimali na madeni yanayotakiwa kutolewa na Viongozi wa Umma
- Kupokea taarifa na tuhuma za ukiukwaji wa Sheria,
- Kuchunguza tuhuma za ukiukwaji wa Sheria,
- Kufanya uhakiki wa matamko yaliyotolewa kwa mujibu wa Sheria,
- Kuanzisha na kufanya uchunguzi wowote wa tuhuma za ukiukwaji wa maadili yaliyobainishwa na Sheria,
- Kutoa elimu ya maadili kwa Viongozi wa Umma,
- Kufanya tafiti kuhusu hali ya uadilifu nchini,
- Kutoa ushauri katika masuala yanayohusu maadili nchini na
- Kuweka mikakati ya kukuza maadili nchini.