Majibu ya Hoja za Malalamiko
Majibu ya Hoja za Malalamiko

- Tunakiri kupokea malalamiko ndani ya siku saba (7) za kazi baada ya kupokelewa;
- Tutatoa mrejesho wa malalamiko yanayohusu ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ndani ya miezi sita (6) baada ya kufanyika kwa uchunguzi;
- Tunatoa mrejesho wa malalamiko yasiyohusu ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ndani ya siku kumi na nne (14) za kazi za kufanyika kwa uchambuzi; na
- Tunatoa majibu ya maombi ya kukagua Rejesta ya Rasilimali, Maslahi na Madeni ya Viongozi wa Umma ndani ya siku kumi na nne (14) za kazi baada ya kupokea maombi.