Kutoa Taarifa Mbalimbali za Shughuli za Taasisi
Kutoa Taarifa Mbalimbali za Shughuli za Taasisi
![Kutoa Taarifa Mbalimbali za Shughuli za Taasisi](https://www.maadili.go.tz/uploads/services/37241d569ba1712776fab20bb896400f.jpeg)
- Tutatoa taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Taasisi ndani ya siku 60 baada ya mwaka kukamilika.
- Tutatoa taarifa ya ukaguzi wa ndani, ndani ya siku 30 kila baada ya robo mwaka.
- Tutatoa taarifa na nyaraka za zabuni kwa mujibu wa Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura ya 410; na
- Tutatoa taarifa mbalimbali kuhusiana na shughuli za Taasisi ndani ya siku tatu (3) za kazi baada ya kupokea maombi;