Kutoa Ushauri na Elimu ya Maadili ya Uongozi.
Kutoa Ushauri na Elimu ya Maadili ya Uongozi.

- Tunatoa elimu kuhusu maadili ya Uongozi wa Umma kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Kanuni zake ndani ya siku tano (5) za kazi baada ya maombi kupokelewa;
- Tunatoa mwongozo au ufafanuzi kuhusiana na masuala ya kimaadili ndani ya siku kumi na nne (14) za kazi baada ya kupokea maombi; na
- Tunatoa ushauri wa namna bora ya kushughulikia mgongano wa maslahi kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na Kanuni zake ndani ya siku thelathini (30) toka kupokelewa kwa taarifa ya uwepo wa mgongano wa maslahi.