Ni Viongozi gani wanaohusika na Sheria ya Maadili?
Ni Viongozi gani wanaohusika na Sheria ya Maadili?
Orodha ya viongozi wa umma imeainishwa katika kifungu 4(1) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Aidha, Mhe. Rais ameongeza orodha ya viongozi mwaka 2013.