Je utekelezaji wa maadili unazingatia ngazi ipi?
Je utekelezaji wa maadili unazingatia ngazi ipi?
Utekelezaji wa Sheria ya Maadili unafuata Orodha ya viongozi wa Umma ambayo imeainishwa katika kifungu 4(1) cha Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Aidha, Mhe. Rais ameongeza orodha ya viongozi mwaka 2013.