Je Ofisi ya Maadili inashirikiana na TAKUKURU katika kushughulikia maswala ya rushwa?
Je Ofisi ya Maadili inashirikiana na TAKUKURU katika kushughulikia maswala ya rushwa?
Ofisi ya Maadili haifanyi kazi kama kisiwa. Inashirikiana na ofisi nyingine kama vile ofisi ya RPC, RPO, Mkuu wa Mkoa na ofisi nyingine katika kutekeleza majukumu mbali mbali. Kwa kuwa rushwa ni moja ya vitendo vya ukiukaji wa maadili, Ofisi ya Maadili hushirikiana na TAKUKURU kwa ajili ya kukamata viongozi wanaojihusuisha na rushwa