Je, kama kiongozi akiwekeza mali zake kwa mtoto wake inakuwaje?
Je, kama kiongozi akiwekeza mali zake kwa mtoto wake inakuwaje?
Sheria imetaja pia mali za watoto wa kiongozi husika zinatakiwa pia kutolewa tamko na endapo kiongozi ataficha hizo mali basi sheria itachukua mkondo wake.
