Karibu OR-SEKRETARIETI YA MAADILI
Karibu OR-SEKRETARIETI YA MAADILI
Habari!
Ninayo furaha kukukaribisha katika TOVUTI ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Ungana na wadau wengine wengi wenye azma ya kushirikiana katika jitihada za kukuza na kusimamia maadili ya Viongozi wa Umma nchini.
Ukienda hatua inayofuata katika TOVUTI yetu utapata taarifa, habari, nyaraka, matukio, picha na ujumbe kuhusu Maadili ya Viongozi wa Umma.
Asante;
Karibu tena
S. S. Mwangesi
EC