Kanusho


Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo.

Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa sklini.

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo;

  • Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na
  • Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tafadhali wasiliana nasi.